Msanii wa Muziki wa Genge Nchin Kenya, Victoria Kimani amnadi kaka yake Bambuu Kimani, licha ya kua ni kiongozi wa kiroho kwa sasa (Mchungaji), Lakini yeye bado anatambua nafasi yake katika Muziki wa Hip hop kua ni Rapa bora. Haya yote ni ndani ya chama la wana XXL ya Clouds FmVICTORIA KIMANI: Bambuu ni Rapa bora Africa | |
| 134 Likes | 134 Dislikes |
| 11,153 views views | 141,611 followers |
| Entertainment | Upload TimePublished on 31 Oct 2018 |
Không có nhận xét nào:
Đăng nhận xét